Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 1 3 7
M U N G U M W A N A
B. Lugha ya Kanuni ya Imani na ushahidi wake katika Biblia
Siku ya tatu, alifufuka katika wafu. Aliwatokea
wanafunzi wake kama ambavyo ameendelea kuwatokea. . . . Hata hivyo, alikaa siku arobaini, ili wafundishwe naye kanuni za uzima na
1. “Alipaa mbinguni”: kuinuliwa kwa Kristo aliyetukuzwa.
a. Simulizi pana zaidi: Luka 24:50-51 na Matendo 1:6-11.
wapate kujifunza yale waliyopaswa kufundisha. Kisha, katika wingu lililotanda
b. Waefeso 1:20
c. Waefeso 4:8-10
kumzunguka, aliinuliwa juu mbinguni – ili kama mshindi, apate kumleta mwanadamu kwa Baba. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.468. Ibid. uk. 559.
d. Webrania 1:3
e. Webrania 4:14
4
f. Webrania 9:24
2. “Ameketi mkono wa kuume wa Baba”: cheo cha juu cha Masihi Yesu
a. Mathayo 26:64
b. Matendo 2:33-36
c. Matendo 5:31
d. Waefeso 1:20-22
Made with FlippingBook - Online magazine maker