Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
1 5 8 /
M U N G U M W A N A
atarudi katika utukufu kuhukumu walio hai na wafu na kusimamisha Ufalme wa milele wa Mungu duniani. Ombi letu la dhati kama waandaaji wa moduli hii ni kwamba uthibitisho huu wa kitheolojia uwe kilio chako binafsi cha moyoni, na kwamba Mungu aweze kukuamsha na kukutia moyo ili uweze kufanyika chapa ya moto ya Bwana wetu ukimtangaza Mwokozi wetu aliyefufuka na Ufalme wake katika ulimwengu wako, au popote ambapo atakuongoza. Amina; na uje, Bwana Yesu! Neema ya Mungu na ikuimarishe unapoendelea kuuishi na kuudhihirisha ufuasi wako katika kumfuata Bwana wetu Yesu Kristo, Mwana pekee wa Mungu, na maisha yako yalete utukufu na heshima kwake, ambaye utukufu na sifa zote ni zake. Amina!
4
Made with FlippingBook - Online magazine maker