Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
1 7 0 /
M U N G U M W A N A
Tangu Kabla ya Wakati hata Baada ya Wakati Maandiko Kwa Ajili Ya Dondoo ya Muhtasari
I. Kabla ya Wakati (Milele Iliyopita) 1 Wakorintho 2.7
II. Mwanzo wa Wakati (Uumbaji na Anguko) Mwa 1.1
III. Kufunuliwa kwa Wakati (Mpango wa Mungu Unafunuliwa Kupitia Israeli) Wagalatia 3.8 (Linganisha. Rum. 9.4-5).
IV. Utimilifu wa Wakati (Kufanyika Mwili kwa Masihi) Wagalatia 4.4-5
V. Nyakati za Mwisho (Kushuka kwa Roho Mtakatifu) Mdo 2.16-18 Actes 2.16-18
VI. Utimilifu wa Wakati (Kuja Mara ya Pili) Mathayo 13.40-43
VII. Baada ya Wakati (Milele Ijayo) 1 Wakorintho 15.24-28
Made with FlippingBook - Online magazine maker