Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 1 8 3
M U N G U M W A N A
Marko 1:14-15 - Hata baada ya Yohana kutiwa gerezani, Yesu akaenda Galilaya, akiihubiri Habari Njema ya Mungu, 15 akisema,
wake, pamoja na kuzungumza na kutenda katika mamlaka ya mwingine kwa niaba ya maslahi na sifa zake.
katika nafasi ya mwingine, na hivyo kutimiza wajibu
uliokabidhiwa, kutumia haki na kutumika kama naibu
Kumwakilisha mwingine ni kuchaguliwa kusimama
Upelekaji Ujumbe
Huduma ya Yesu Kristo Ya Mahubiri ya Hadhara
Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia; tubuni, na kuiamini Injili.
Mwakilishi wa Mungu katika Uwasilishaji na
Mara Roho akamtoa aende nyikani. 13 Akawako huko jangwani siku arobaini, hali akijaribiwa na Shetani ; naye alikuwa pamoja na wanyama wa mwitu, na malaika walikuwa wakimhudumia. Kama Mwenye Uwezo wa Kupigana Bwana Yesu
Kama Mwenye Mamlaka ya
Kuzungumza.
Kama Kristo, Mwakilishi Mkamilifu wa Mungu Aliyechaguliwa Kuwakilisha.
Mwakilishi wa Mungu Marko 1:12-13
Kujaribiwa kwa Yesu Kristo Changamoto na Ukinzani dhidi ya
kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake; 11 na s auti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.
5. Kazi mpya baada ya Tathmini , Wafilipi 2:9-11
Yohana 10:17-18 2. Kufadhiliwa na Dhamana ,
Yohana 3.34; Luka. 4:18 3. Kuingizwa kazini , Yohana 5:30 4. Kujibiwa kwa Tathmini ,
Marko 1:9-11 - Ikawa siku zile, Yesu alikuja kutoka Nazareti ya Galilaya, akabatizwa na Yohana katika Yordani. 10 Mara alipopanda
Ya Kuwa Mjumbe .......................... 1. Kupokea Kazi ,
Mwakilishi wa Mungu
Mathayo 3:16-17
Ubatizo wa Yesu Kristo Kupewa Mamlaka na Kuthibitishwa kwa
Yesu Anatimiza Majukumu
K I A M B A T I S H O C H A 1 4 Uwakilishi
Yesu kama Mwakilishi Mteule wa Mungu Mchungaji Dkt. Don L. Davis
Made with FlippingBook - Online magazine maker