Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
1 9 2 /
M U N G U M W A N A
Je! Atampa asante yule mtumwa, kwa sababu ameyafanya aliyoagizwa? 10 Vivyo yaliyotupasa kufanya.
Yule Farisayo akasimama akiomba hivi moyoni mwake; Ee Mungu, nakushukuru kwa kuwa mimi si kama watu wengine, wanyang’anyi, wadhalimu, wazinzi, wala kama huyu mtoza ushuru. 12 Mimi nafunga mara mbili kwa juma; hutoa zaka katika mapato yangu yote.
Luka 17:9-10
Luka 18:11-12
Wagalatia 1:10
Kuweka rekodi ya mpangilio na kiwango cha huduma yetu
hivyo nanyi, mtakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu
watumwa wasio na faida; tumefanya tu
Roho ya ushindani na kiburi
Kutafuta kukubaliwa na watu badala ya kukubaliwa na Mungu Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au
nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza
wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo.
mitume.
Thesalonike.
Matendo 5:1-2
Vikwazo kwa Utumishi
Unaofanana na Kristo
Fikra za kidunia 2 Timotheo 4:10a
Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda
yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa
Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali, 2 akazuia kwa siri sehemu ya thamani
Kutoa ili tu kuonekana na wengine
binafsi
Wafilipi 2:21
ya kuwajenga ninyi.
2 Wakorintho 12:19
Maana wote wanatafuta vyao wenyewe, sivyo vya Kristo Yesu.
Kujishughulisha na maslahi
Luka 10:40
Kujibu kwa shari na kujihami
Mwadhani hata sasa ya kuwa najidhuru kwenu! Mbele za Mungu twanena katika Kristo. Na hayo yote, wapenzi, ni kwa ajili
mwambie anisaidie.
Kusisitiza kuhusu wengine kutofanya sehemu yao kwa haki
Lakini Martha alikuwa akihangaika kwa utumishi mwingi; akamwendea, akasema, Bwana, huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniacha nitumike peke yangu? Basi
K I A M B A T I S H O C H A 1 9 Vikwazo kwa Utumishi Unaofanana na Kristo Don L. Davis
Made with FlippingBook - Online magazine maker