Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 2 0 3
M U N G U M W A N A
K I A M B A T I S H O C H A 2 5 Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi katika Agano la Kale Rev. Dr. Don L. Davis, imechukuliwa kutoka kwa James Smith, The Promised Messiah
Historia
UKK – Ufafanuzi wa Kale wa Kiyahudi
DAJ – Dokezo la Agano Jipya
EAJ – Eksejesia ya Agano Jipya
MWK – Mababa wa Kanisa
Rejea ya Biblia
Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi
UKK DAJ
EAJ MWK
Mmoja kutoka katika safu ya uzao wa mwanamke ataponda kichwa cha nyoka
1
Mwanzo 3:15
X X
X
2
Mw. 9:25-27
Mungu atakuja na kukaa katika hema za Shemu
X X
X
Mw. 12:3; 18:18; 22:18; 26:4; 28:14
Mataifa yote ya dunia yatabarikiwa kupitia mzao wa Abrahamu, Isaka, na Yakobo
3
X X X X
Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda mpaka Shilo aje, na mataifa yote yatamtii
4
Mw. 49:10-11
X X
X
Mtawala mwenye nguvu kutoka Israeli atakuja na kuwaangamiza maadui wa watu wa Mungu
5 Hesabu 24:16-24
X X
X
Nabii kama Musa atakuja na wenye haki wote watamsikiliza
6 Kumb. 18:15-18
X X X
Malaika wa Mungu waliamriwa kufurahi wakati Mzaliwa wa Kwanza wa Mungu anakuja ulimwenguni.
7
Kumb. 32:43
X
Mungu atahukumu miisho ya dunia lakini atamtia nguvu mtiwa-mafuta wake
8
1 Samweli 2:10
X
X
9
1 Sam. 2:35-36
Kuhani mwaminifu atakuja na kuwabariki watu
Uzao wa Daudi utaketi juu ya kiti cha enzi cha milele na kuijenga nyumba ya Mungu
10 2 Samweli 7:12-16
X
X
Agano la Mungu la kumtuma Masihi kupitia Daudi haliwezi kubatilishwa
11
Zaburi 89
X
12
Zab. 132
Mungu amemchagua Daudi na Sayuni
X
Mwana wa Adamu amefanywa chini kidogo kuliko malaika, na ameinuliwa kama mtawala juu ya viumbe vyote
13
Zab. 8
X X X
Masihi anajitolea kuingia ulimwenguni, kuteseka na anakombolewa
14
Zab. 40
X X
Made with FlippingBook - Online magazine maker