Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

/ 2 0 9

M U N G U M W A N A

K I A M B A T I S H O C H A 2 7

Majina, Vyeo, na Sifa za Masihi katika Agano la Kale Imechukuliwa kutoka kwa Norman L. Geisler, A Popular Survey of the Old Testament

25. Kamanda, Isa. 55:4 26. Kichipukizi Chororo, Eze. 17:22

1. Agano la Watu, Isa. 42:6 2. Aliye wa milele, Zab. 102:25-27 3. Aliyejitolea, Zab. 40:7 4. Aliyepakwa mafuta, 1 Sam. 2:19; Zab. 2:2 5. Aliyetobolewa, Zek. 12:10

27. Kimbilio, Isa. 32:1 28. Kiongozi, Isa. 55:4 29. Kivuli, Isa. 32:2

30. Kuhani Mwaminifu, 1 Sam. 2:35 31. Kuhani wa Milele, Zab. 110:4 32. Maji ya Uzima, Isa. 32:2 33. Makao, Isa. 32:1 34. Malaika (mjumbe), Ayubu 33:23 35. Masihi-Mfalme, Dan. 9:25 36. Maskini na mwenye kuteswa, Zab. 69:29 37. Mche Mwororo, Isa. 53:2 38. Mchungaji aliyekataliwa, Zek. 11 39. Mchungaji, Eze. 34:23; 37:24 40. Mfalme wa Amani, Isa. 9:6 41. Mfalme, Zab. 2:5; Hos. 3:5 42. Mfasiri, Ayubu 33:23 43. Mfuaji, Malaki 3:2 44. Mhubiri wa Habari Njema kwa maskini, Isa. 61:2

6. Amani Yetu, Mika 5:5 7. Baba wa Milele, Isa. 9:6 8. Bwana, Haki Yetu, Yer. 23:6 9. Bwana, Mal. 3:1 10. Chanzo, Zab. 16:11

11. Chipukizi la Haki, Yer. 23:5; 33:15 12. Chipukizi la Shina la Yese, Isa. 11:1 13. Chipukizi la Yehova, Isa. 4:2

14. Chipukizi, Zek. 3:8; 6:12 15. Daudi, Hos. 3:5; Yer. 30:9 16. Fimbo ya enzi, Hes. 24:17 17. Imanueli, Isa. 7:14

18. Ishara na Ajabu, Isa. 8:18 19. Israeli, Hos. 11:1; Isa. 49:3 20. Jiwe la Pembeni (Jiwe Kuu), Zab. 118:22; Isa. 28:16

45. Mjenzi wa Hekalu, Zek. 6:12 46. Mjumbe wa Agano, Mal. 3:1

21. Jiwe Lililojaribiwa, Isa. 28:16 22. Jiwe Lililokataliwa, Zab. 118:22 23. Jiwe, Zek. 3:9 24. Jua la Haki, Mal. 4:5

47. Mkaaji wa Hemani, Mwa. 9:26-27 48. Mkombozi, Ayubu 19:25; Isa. 59:20

Made with FlippingBook - Online magazine maker