Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 2 1 1
M U N G U M W A N A
K I A M B A T I S H O C H A 2 8 Masihi Yesu Utimilifu wa Vivuli vya Agano la Kale Imechukuliwa kutoka kwa Norman Geisler, To Understand the Bible, Look for Jesus, pp. 38-41.
Masihi Yesu Anatimiza Aina Za Maskani
Aina za Maskani
Yesu wa Nazareti kama Kielelezoasili
Mimi ndimi Mlango Yohana 10:9
Mlango Mmoja
Anatoa maisha yake kama fidia ya wengi Marko 10:45
Madhabahu ya Shaba
Nisipokuosha huna sehemu nami Yohana 13:8, 10; 1 Yohana 1:7
Birika
Mimi ndimi Nuru ya Ulimwengu Yohana 8:12
Kinara cha taa
Mimi ndimi Mkate wa Uzima Yohana 6:48
Mkate wa Wonyesho
Ninawaombea Yohana 17:9
Madhabahu ya Uvumba
Huu ni mwili wangu Mathayo 26:26
Pazia
Nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo Yohana 10:15
Kiti cha Rehema
Made with FlippingBook - Online magazine maker