Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

/ 6 1

M U N G U M W A N A

b. Waebrani 2:17-18

3. Ubinadamu wake haukuwa na dhambi .

a. Waebrani 7:26

b. Waebrani 4:15

c. Waebrani 9:13-14

2

d. 1 Petro 1:19

e. 1 Petro 2:22

f. 1 Yohana 3:5

4. Ubinadamu wake ulikuwa kiwakilishi : Yesu alikuwa Adamu wa Pili (cf. Rum. 5:12-21; 1 Kor. 15:22-49).

a. Kama Adamu wa pili, Yesu ndiye Kichwa na Chanzo cha maisha mapya kwa wanadamu waliokombolewa.

b. Kama Adamu wa pili, Yesu ni kielelezo cha Mungu cha kutoa wokovu kupitia haki yake.

c. Kama Adamu wa pili, Yesu ndiye mwenye kuchukua sura halisi ya wanadamu wote.

Made with FlippingBook - Online magazine maker