Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

1 0 4 /

M U N G U M W A N A

2. Tunapaswa kufuata kielelezo cha kifo cha Yesu kwa kuwajali wengine na kuhubiri Habari Njema.

3. Hatupaswi kamwe kurahisisha huzuni ya Yesu kupita kiasi: hakufa kisitiari ili kufundisha somo kwa njia ya mifano, bali alikufa kiuhalisia ili kutukomboa kwa ajili ya Mungu (1 Pet. 3:18).

II. Mtazamo wa pili: Kifo cha Yesu kama udhihirisho wa upendo wa Mungu ( nadharia ya ushawishi wa kimaadili )

Ndugu zangu, msiseme neno

lolote baya dhidi ya yule aliyesulubiwa. Usidharau mapigo ambayo kwayo kila mtu anaweza kuponywa, kama vile sisi [Wakristo] tunavyoponywa. ~ Justin Martyr (c. 160, E), 1.268. Ibid. uk. 42.

A. Waandishi na hoja za wale wanaoshikilia mtazamo wa Ushawishi wa Kimaadili :

1. Watetezi wa mtazamo huu:

3

a. Peter Abelard

b. Horace Bushnell (1802-1876)

2. Mungu ni pendo: haki, ghadhabu, kisasi na utakatifu wake si tatizo letu kuu, bali mtazamo wetu kwake .

3. Ugumu wa kuwa katika ushirika na Mungu upo ndani yetu, si katika Mungu mwenyewe .

a. Hatuujui upendo wake kwetu.

b. Hatuelewi kwamba dhambi yetu imemletea huzuni.

Made with FlippingBook - Share PDF online