Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

/ 1 3 1

M U N G U M W A N A

a. Mtume Petro

(1) Matendo 2:24 (2) Matendo 2:32 (3) Matendo 3:15 (4) Matendo 5:30 (5) Matendo 10:40 (6) 1 Petro 1:21

b. Mtume Paulo

(1) Matendo 13:27-33 (2) Matendo 17:31 (3) 1 Wakorintho 15:3-4 (4) Wafilipi 3:20-21

4

3. Ufufuo ndio uliokuwa tumaini kuu na hai ambalo lilikuwa msingi wa kuanzishwa kwa jumuiya ya Kikristo: ilikuwa imani ya Kanisa la kwanza, Mdo 4:33.

4. Ulithibitisha utambulisho wa Bwana wetu kama Bwana na Kristo, kama alivyotabiri.

a. Mathayo 12:39-40

b. Yohana 2:20-22

5. Ulithibitisha ukweli wa Maandiko Matakatifu, ambayo yalitabiri juu ya ufufuo wa Masihi, Matendo 2:23-28.

Made with FlippingBook - Share PDF online