Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

1 3 4 /

M U N G U M W A N A

b. Nyakati fulani marafiki na wanafunzi wake hawakuweza kumtambua (taz. Lk 24:13-16; Yoh. 20:14-15; Mk 16:12).

c. Alitoweka mbele ya wanafunzi (Lk 24:31; Yoh. 20:19, 26; Lk 24.51).

d. Mwili wake uliweza kupaa mbinguni (Mdo 1:9; Flp. 3.20-21).

3. Mwili wake, kama limbuko la ufufuo, hauwezi kufa (yaani, hauna chembe yoyote au sifa ya kuweza kuharibika au kufa).

Kwa maana najua kwamba baada ya kufufuka Kwake pia, alikuwa angali ana mwili. Nami naamini ya kwamba yuko hivyo hata sasa. ~ Ignatius (c. 105, E), 1.87. Ibid. uk. 558.

a. Hawezi kufa tena. (1) Luka 20:36 (2) Warumi 6:9-10 (3) Ufunuo 1:18

4

b. Yeye ndiye kielelezo kwa wote watakaoamini baada yake. (1) 1 Wakorintho 15:20 (2) Wafilipi 3:20-21

D. Maana za kitheolojia za ufufuo

Yesu Kristo, shahidi aliye mwaminifu, mzaliwa wa kwanza wa waliokufa, Ufu. 1:5.

1. Ingawa hakuna ushuhuda wa moja kwa moja wa ufufuo wa Yesu ( ushahidi wa shahidi aliyeshuhudia ufufuo ndani ya kaburi pamoja na Yesu ), kuna ushahidi wa kutosha na wa kuridhisha wa uhakika wa ufufuo ambao si wa moja kwa moja.

Made with FlippingBook - Share PDF online