Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 1 8 9
M U N G U M W A N A
K I A M B A T I S H O C H A 1 7 Karama za Rohoni Zinazotajwa Kimahususi katika Agano Jipya Mch. Terry G. Cornett
Utawala
1 Kor. 12:28 Uwezo wa kuleta utaratibu katika maisha ya Kanisa.
Uwezo wa kuanzisha makanisa mapya miongoni mwa wale ambao hawajafikiwa, kuyalea hadi yaweze kukomaa, na kutumia mamlaka na hekima muhimu ili kuyaona yakiimarika na kuweza kuzaa tena; na/au Karama ya kipekee katika kuweka msingi wa Kipindi cha Kanisa, ambayo ilijumuisha upokeaji wa ufunuo maalum na mamlaka ya kipekee ya kiuongozi. Uwezo wa kutumikia Kanisa kupitia uwezo uliopewa na Roho wa kutofautisha kati ya kweli ya Mungu (uwepo wake, kazi yake, na mafundisho yake) na makosa ya kibinadamu au uongo wa kishetani.
1 Kor. 12:28; Efe. 4:11
Utume
Kupambanua roho
1 Kor. 12:10
Uinjilisti
Efe. 4:11 Shauku na uwezo wa kutangaza kwa ufanisi Injili ili watu waielewe.
Uwezo wa kutia moyo au kukemea ambako kunawasaidia wengine kumtii Kristo.
Maonyo
Rum. 12:8
Uwezo wa kulijenga kanisa kwa njia ya uwezo wa kipekee wa kuona makusudi ya Mungu ambayo bado hayajagundulika na kumtegemea Mungu pasipo kuyumba ili kuweza kuyatimiza.
Imani
1 Kor. 12:9
Uwezo wa kulijenga kanisa kupitia kuwashirikisha wengine kwa furaha na kwa ukarimu rasilimali za kiroho na za kimwili.
Utoaji
Rum. 12:8
1 Kor. 12:9; 12:28
Uwezo wa kuitumia imani ambayo inalenga kurejesha afya ya kimwili, kihisia na kiroho.
Uponyaji
Uwezo wa kuelezea maana ya matamko yenye ya lugha za rohoni ili kwamba kanisa liimarishwe.
Tafsiri za lugha
1 Kor. 12:10
Uwezo wa kuelewa kweli za Maandiko, kupitia nuru ya Roho Mtakatifu, na kuzizungumza ili kuujenga Mwili; na/au Ufunuo usio wa kawaida wa kuwepo, au asili, ya mtu au kitu ambacho hakingejulikana kwa njia za asili.
Maarifa
1 Kor. 12:8
Made with FlippingBook - Share PDF online