Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

1 9 0 /

M U N G U M W A N A

Karama za Rohoni Zinazotajwa Kimahususi katika Agano Jipya (muendelezo)

Shauku iliyovuviwa kiroho, hekima, hamu, na bidii ya kazi ambayo inahamasisha na kuongoza wengine ili waweze kushiriki kwa ufanisi katika kulijenga Kanisa. Huruma ya moyo ambayo humwezesha mtu kuwahurumia na kuwahudumia kwa moyo mkunjufu wale walio wagonjwa, wanaoumia, au waliokata tamaa.

Uongozi

Rum. 12:8

Rehema

Rum. 12:8

Kuhudumia (au Huduma, au Kusaidia, au Ukarimu)

Uwezo wa kufanya kazi yoyote kwa furaha ambayo inawanufaisha wengine na kukidhi mahitaji yao ya kimwili (hasa kwa niaba ya maskini au wanaoteseka).

Rum. 12:7; 1 Pet. 4:9

1 Kor. 12:10; 12:28

Uwezo wa kukabiliana na uovu na kutenda mema kwa njia zinazodhihirisha nguvu na uwepo wa Mungu wa ajabu.

Miujiza

Shauku na uwezo wa kuongoza, kulinda, na kuwaandaa washirika katika kusanyiko kwa ajili ya huduma.

Uchungaji

Efe. 4:11

Uwezo wa kupokea na kutangaza wazi ujumbe uliofunuliwa toka kwa Mungu ambao unaliandaa kanisa kwa ajili ya kumtii na kulitii Neno lake.

1 Kor. 12:28; Rum. 12:6

Unabii

1 Kor. 12:28; Rum. 12:7; Efe. 4:11

Uwezo wa kueleza maana ya Neno la Mungu na matumizi yake kupitia mafundisho makini.

Kufundisha

1 Kor. 12:10; 12:28

Matamshi yasiyo ya kawaida ambayo kwayo mtu huzungumza na Mungu (au wengine) chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu.

Kunena kwa lugha

Ufahamu uliofunuliwa na roho ambao humwezesha mtu kutoa maelekezo ya kimungu kwa ajili ya kutatua matatizo; na/au Ufahamu uliofunuliwa na Roho unaomwezesha mtu kueleza siri kuu za imani ya Kikristo.

Hekima

1 Kor. 12:8

Made with FlippingBook - Share PDF online