Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
2 2 6 /
M U N G U M W A N A
5KK – 26BK 27 28 K I A M B A T I S H O C H A 3 8 Maisha ya Kristo Kulingana na Majira na Miaka Imechukuliwa kutoka kwa Ray E. Baughman, The Life of Christ Visualized Key Events – Spring M M L J Key Events – Summer M M L J Key Events – Fall M M L J - Kuzaliwa Bethlehemu, wachungaji, malaika - Kuabudu kwa Simeoni, Anna, watu wenye hekima - Watoto wachanga wa Bethlehemu walikufa - Kuingia Misri (Kukimbia kwa Yusufu, Mariamu na Yesu) - Uhamisho wa Misri kumalizika, kukaa katika Nazareti - Kumtafuta Yesu (umri wa miaka 12, kutembelea Yerusalemu) 2:1-12 2:16-18 2:13-15 2:19-23 2:1-20 2:21-38 2:39-40 2:41-52 1:14 - Ubatizo wa Yesu (Mto Yordani) - Majaribu (Nyika ya Yudea) - Ushuhuda wa Yohana Mbatizaji - Wanafunzi watano wa kwanza wa Yesu (Yordani) 3:1-17 4:1-11 1:9-11 1:12-13 3:1-18, 21-37 4:1-13 1:15-34 1:35-51 - Kana, kubadilisha maji kuwa divai (muujiza wa kwanza) - Kapernaumu (kukaa kwa mara ya kwanza katika makao ya baadaye) 2:1-11 2:12 - Pasaka ya kwanza wakati wa huduma (Yerusalemu) - Utakaso wa kwanza wa Hekalu (Yerusalemu) - Mahojiano na Nikodemo (Yerusalemu) - Huduma ya Yudea ya Yohana na Yesu - Yesu anaondoka Yudea, Yohana anapofungwa (huko Makearo) 4:12-17 1:14 3:19-20 2:13 2:14-25 3:1-21 3:22-36 4:1-4 - Mwanamke kisimani (Sikari) - Mwana wa Diwani aponywa (Yesu akiwa Kana, kijana akiwa Kapernaumu) - Yesu ahubiri katika masinagogi ya Galilaya, anapokelewa vizuri (safari ya kwanza ya Galilaya) 1:14-15 4:14-22 4:5-42 4:43-54 - Kukataliwa vikali (kwanza), huko Nazareti - Uvuvi mkubwa wa samaki, wito wa wanafunzi (Galilaya) - Mwenye pepo aponywa (Kapernaumu) - Kuponywa kwa Mama mkwe wa Petro - Safari ya Galilaya (ya pili) na wanafunzi wanne - Mwenye ukoma aponywa (apelekwa Yerusalemu) - Paa lafunguliwa kwa ajili ya mgonjwa (Kapernaumu) - Wito wa Mathayo, chama chake (Kapernaumu) 4:18-22 8.14-17 4:23-25 8:2-4 9:1-8 9:9-17 1:16-20 1.21-28 1:29-34 1:35-39 1:40-45 2:1-12 2:13-22 4:23-30 5:1-11 4.31-37 4:38-41 4:42-44 5:12-16 5:17-26 5:27-39 - Mtu asiyeweza kwenye birika (Yerusalemu) - Wanafunzi wanachuma nafaka (Galilaya) - Mtu mwenye mkono uliopooza (Kapernaumu) - Yesu achagua mitume kumi na wawili (Galilaya) - Mahubiri ya Mlimani (Pembe za Hattin) - Mtumishi wa akida aponywa (Kapernaumu) 12:1-8 12:9-21 5:1-8.1 8:5-13 11:2-30 12:22-23 2:23-28 3:1-12 3:13-19 3:22-30 6:1-5 6:6-11 6:12-16 6:17-49 7:1-10 7:11-17 7:18-35 7:36-50 8:1-3 5:1-47 - Mifano ya Ufalme wa mbinguni karibu na bahari (Kapernaumu) - Kutuliza bahari na upepo - Mwenye pepo makaburini, nguruwe baharini (Nchi ya Wagerasi) - Kuvuka bahari kurudi Kapernaumu na miujiza minne: Binti wa Yairo afufuliwa, mwanamke agusa vazi la Masihi - Vipofu wawili na bubu mwenye pepo waponywa 13:1-53 8:18-27 8:28-34 9:18-26 9:27-34 4:1-34 4:35-41 5:1-20 5:21-43 8:4-18 8:22-25 8:26-39 8:40-56
8:19-21
3:20-21, 31-35
12:24-45
12:46-50
- Mwana wa mjane afufuliwa (Naini) - Wanafunzi wa Yohana wamuulizia Yesu (Galilaya)
- Yesu apakwa mafuta miguu yake kwa mara ya kwanza (Kapernaumu)
- Safari (ya tatu) ya Galilaya pamoja na wanafunzi
- Mtu aliyepagawa na pepo, bubu na kipofu aponywa (Kapernaumu?)
- Yesu ashutumiwa kuwa na Belzebuli - Marafiki na ndugu wanaamini kwamba Yeye ni mwendawazimu
Made with FlippingBook - Share PDF online