Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 2 2 7
M U N G U M W A N A
Key Events – Spring M M L J Key Events – Summer M M L J Key Events – Fall M M L J 13:54-58 9:35-11:1 14:1-12 6:1-6 6:6-13 6:14-29 9:1-6 9:7-9 14:13-21 14:22-36 15:1-20 6:30-44 6:45-56 7:1-23 9:10-17 6:1-15 6:16-71 10:1-24 7:1-8.1 8:2 - 8.11 8:12-59 9:1-41 10:1-21
20:1-2
20.3-10
21:1-25
10:22-39
20:11-18
20:19-25
20:26-31
11:1-13
12:1-21
24:1-10
10:25-37
10:38-42
11:14-36
11:37-54
13:10-21
24.11-12
24:13-35
24:36-43
24:44-53
12:22–13:9
16:14
16:1-8
16:9-11
16:12-13
16:15-18
16:19-20
28:1-4
28:5-8
28:9-10
28:11-15
28:16-20
- Chakula cha jioni kwa Mariamu na Martha (Bethania)
- Wanafunzi wafundishwa kuomba - Ashutumiwa kufungamana na Beelzebuli, mwenye pepo aponywa - Kula pamoja na Farisayo
- Tetemeko wakati malaika akiliviringisha jiwe
- Wanawake watembelea kaburi - Petro na Yohana wanatembelea kaburi
- Yesu amtokea Maria Magdalene (Yerusalemu)
- Yesu awatokea wanafunzi njiani kuelekea Emau (na pia amtokea Simoni)
- Yesu awatokea wanafunzi 10 - Yesu aonekana kwa wote, pamoja na Tomaso
- Yesu awatokea wanafunzi 7 kando ya Bahari ya Galilaya (muujiza wa pili wa samaki)
- Yesu aonekana kwa wanafunzi 500 (rej. 1Wakorintho 15:5-7) - Kupaa
- Sikukuu ya Vibanda (Yerusalemu) - Mwanamke mzinzi - Nuru ya ulimwengu
- Mtu aliyezaliwa kipofu aponywa - Hotuba ya Mchungaji Mwema - Sabini waliotumwa (Uyahudi) - Msamaria mwema
- Unafiki wakemewa (Uyahudi) - Mithali juu ya utumishi
- Uponyaji wa mwanamke mlemavu - Sikukuu ya Kutabaruku (Yerusalemu)
- Yesu awatokea wanawake wengine - Walinzi waripoti kwa watawala
13:1
18:11
19:42
18:12
12:12-19
12:20-50
23:56
22:54
9:18-21
9:22-27
9:28-36
9:37-42
9:43-45
9:46-62
22:7-53
19:28-44
19:45-48
20:1-22.6
11:27 – 14:2,
8.1-9
15:47
9:2-13
10- 11
14:53
7:24-30
7:31-37
8:10-12
8:13-21
8:22-26
8:27-30
9:14-29
9:30-33
9:34-50
11:1-11
11:12-26
14:12-52
8:31 – 9.1
15:39 – 16:4
26:5;
27:66
21:23
26:57
16:5-12
17:1-13
18:1-35
21:1-11
15:21-28
15:29-31
15.32-38
16:13-20
16:21-28
17:14-21
17:22-23
17:24-27
21:12-22
26:14-16
26:17-56
- Kulisha watu 5,000 (Bahari ya Galilaya)
- Kutembea juu ya maji. Hotuba ya Mkate wa Uzima - Kula bila kunawa mikono (Kapernaumu)
- Mwanamke Mkananayo aponywa (Sidoni) - Mtu kiziwi na bubu aliponywa
- Kulisha watu 4,000 (Dekapoli) - Mafarisayo na Masadukayo wanatafuta ishara
- Ukiri mzuri wa Petro (Kaisaria Filipi) - Kutabiri kifo, ufufuo, kuja mara ya pili
- Sarafu katika kinywa cha samaki (Kapernaumu) - Maagizo kwa wanafunzi
- Jumapili - Kuingia kwa Ushindi - Jumatatu - Utakaso wa pili wa Hekalu
- Jumanne - Yesu apingwa, Hotuba ya Mlima wa Mizeituni - Jumatano
- Alhamisi - chakula cha jioni cha Pasaka, Hotuba ya Chumba cha Juu, Gethsemane, Kukamatwa
- Onyo dhidi ya mafundisho ya uongo - Kipofu aponywa huko Bethsaida
- Kugeuka sura (Mlima wa Hermoni) - Kijana mwenye pepo aponywa
- Atabiri kifo na ufufuo (Galilaya)
- Ijumaa - Kesi, kusulubishwa, mazishi - Jumamosi - kaburini
11:1-44
12:1-11
10:40-42
11:45-57
17:10
16:1 –
14:1-6
14:7-35
15:1-32
18:1-30
19:1-27
13:22-35
17:11-37
18:31-34
18:35-43
14:3-9
10:1-31
10:32-45
10:46-52
20:16
19:1 –
26:6-13
20:17-28
20:29-34
- Kumi na wawili watumwa (kuzuru Galilaya mara ya nne) - Kifo cha Yohana Mbatizaji (Machearus)
- Akifundisha huko Perea, alionya kuhusu Herode
- Uponyaji wa mtu siku ya Sabato - Mifano juu ya unyenyekevu, thawabu, visingizio, uanafunzi
- Kondoo aliyepotea, sarafu iliyopotea, mwana mpotevu - Tajiri na Lazaro (Bethania)
- Wakoma kumi waponywa (Samaria) - Kujibiwa kwa maombi, talaka, watoto wadogo, tajiri kijana mtawala - Atabiri kifo na ufufuo - Vipofu wa Yeriko
- Kubadilika kwa Zakayo - Kituo cha mwisho, kupakwa mafuta mara ya pili
29
30
- Kukataliwa mara ya pili Nazareti
- Kufufuliwa kwa Lazaro (Bethania) - Kupanga njama ya kumuua Yesu
Maisha ya Kristo kulingana na Majira na Miaka (muendelezo)
Made with FlippingBook - Share PDF online