Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

/ 2 7 1

M U N G U M W A N A

suala la msingi zaidi, na si ujuzi wao wa kusoma peke yake. Ni kweli, tunataka kuboresha ujuzi wao, lakini si kwa namna inayo dhoofisha lengo la kuwatia moyo na kuwajenga . Hata hivyo, hatutaki wafanye chini ya kiwango kile wanachotakiwa kufanya. Jitahidi kutafuta mbinu zenye uwiano mzuri katika kuwapa changamoto ya kufanya kwa ubora na kuhakikisha hawavunjiki moyo.

Made with FlippingBook - Share PDF online