Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 2 9
M U N G U M W A N A
a. Yesu ndiye nanga ya imani yetu, Ebr. 12:1-2.
b. Ndani yake pekee tuna uzima wa milele (1 Yoh 5:11-13).
c. Haiwezekani kumuona Mungu pasipo uhusiano na Mungu kupitia kwake (Yohana 14:6).
2. “Mwana wa Pekee wa Mungu”: Kanuni ya Imani inakiri uhusiano wa kipekee na uwana aliokuwa nao Yesu kwa Mungu Baba.
1
a. Yesu ana uhusiano wa kipekee na Baba. (1) Zaburi 2:7 (2) Waebrania 1:5
b. Yesu ni mmoja na Baba. (1) Yohana 10:30 (2) Yohana 1:1 (3) Yohana 17:21
c. Yesu ni Masihi, Mwana wa Mbarikiwa. (1) Marko 14:61-62 (2) Luka 22:70
Tafuta, basi, na uone kama uungu wa Kristo ni wa kweli. ~ Tertullian (c. 197, W) 3.36. David W. Bercot, ed. A Dictionary of Early Christian Beliefs. Peabody, MA: Hendrickson Publishers, 1998. uk. 96.
3. “Mungu kutoka kwa Mungu, Nuru kutoka kwa Nuru, Mungu wa Kweli kutoka kwa Mungu wa Kweli”: Kanuni ya Imani inakiri kwamba Yesu wa Nazareti alizaliwa na Mungu katika maana ya kwamba alishiriki kiini na asili moja na Baba.
a. Tito 2:13
Made with FlippingBook - Share PDF online