Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

3 0 /

M U N G U M W A N A

b. Warumi 9:5

c. 1 Yohana 5:20

4. “Aliyezaliwa, si kuumbwa”: Kanuni ya Imani inakiri kwamba Yesu alizaliwa na Mungu lakini hakuumbwa na Yeye; uhusiano wa Baba na Mwana ni wa kipekee .

1

a. Vitu vyote viliumbwa kwa njia ya Kristo, yeye mwenyewe alikuwa yuna namna yenyewe ya Mungu, Flp. 2:6

b. Kitendo cha Yesu kufanyika Mwana mzaliwa wa Mungu hakipunguzi usawa wake na Mungu (Yohana 5:18-19).

5. “Wa asili ileile ya Baba”: Kanuni ya Imani inakiri kwamba Yesu alishiriki kiini kile kile na Baba, yaani, walishiriki asili na kiini kile kile katika hali yake ya awali.

a. Yesu alishiriki katika utukufu wa Baba kabla ya kushuka kwake ulimwenguni (Yohana 17:1-5).

b. Yesu ana uzima ndani yake kama vile Baba alivyo na uzima ndani yake (Yohana 5:26-27).

6. “Ambaye kwa njia ya yeye vitu vyote viliumbwa”: Kanuni ya Imani inakiri kwamba Yesu ndiye ambaye kupitia kwake Mungu alizifanya mbingu na nchi .

Mwana ndiye sababu ya mambo yote mema, kwa mapenzi ya Baba Mwenyezi. ~ Klementi wa Aleksandria (c. 195, E) 2.524. Ibid. uk. 95.

a. Yohana 1:1-5

Made with FlippingBook - Share PDF online