Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 3 1
M U N G U M W A N A
b. Wakolosai 1:15-17
II. Kristo kama Neno Aliyekuwepo ( Logos )
A. Logos Aliyekuwepo Kabla: Mungu alidhihirishwa katika mwili. 1 Timotheo 3:16 - Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katikamataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu. Isaya 7:14 - Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Kwa maana Kristo ni Mfalme, Kuhani, Mungu, Bwana, Malaika, na Mwanadamu. ~ Justin Martyr (c. 160, E) 1.211. Ibid. uk. 94.
1
1. Anaitwa Mungu.
a. Waebrania 1:8
b. Yohana 1:14
c. Yohana 1:18
d. Yohana 20:28
2. Yesu anahusishwa na Majina ya kiungu.
a. Bwana (1) Matendo 2:20-21 na Rum. 10:13 na Yoeli 2:31-32 (2) 1 Petro 3:15 pamoja na Isa. 8:13
Made with FlippingBook - Share PDF online