Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 5 9
M U N G U M W A N A
(3) Mariamu hakumzaa Mungu, bali alimzaa mtu ambaye alikuwa njia ya Mungu kujidhihirisha.
b. Mafundisho yake yalionekana kuonyesha uwepo wa mgawanyiko kati ya viumbe wawili tofauti katika utu wa Yesu.
2. Ueutikia (Eutychianism) : Kristo ana asili moja iliyochanganyikana.
a. Kiongozi wa monasteri huko Konstantinopoli (takriban 375-454). (1) Alifundisha kwamba baada ya Yesu kuzaliwa, alikuwa na asili moja tu (sio asili mbili katika mtu mmoja). (2) Ubinadamu wa Yesu ulichanganyika na uungu wake na karibu kuuharibu kabisa. (3) Haijulikani asili hii moja, iliyochanganywa ni nini hasa: mafundisho ya kutatanisha.
2
b. Mafundisho yake yanachanganya na kuvuruga umuhimu wa muungano wa asili mbili katika mtu mmoja ndani ya Yesu.
3. Mtaguso wa Chalcedon, 451
a. Ulikanusha mawazo ya Eutiches.
b. Ulithibitisha fundisho la asili mbili kuwa ni halisi.
c. Mariamu alitangazwa kuwa “Mama wa Mungu” ( theotokos ) wa Mungu Mwana, ambaye alifanyika mwanadamu.
Made with FlippingBook - Share PDF online