Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
6 8 /
M U N G U M W A N A
4. Yesu anabatizwa na Yohana (Mt.3:13-15).
5. Wakati wa ubatizo, Mungu anathibitisha utambulisho wa Yesu na cheo chake kama Mwana (Mt. 3:16-17).
B. Maana za kitheolojia za Yesu kama Aliyebatizwa anayejihusisha na wenye dhambi
1. Yesu ndiye utimilifu wa unabii wa Agano la Kale kuhusu Masihi.
2
2. Yesu anajihusianisha kabisa na wenye dhambi katika ubatizo wake (alibatizwa si kwa sababu ya hitaji la kutubu, bali kwa sababu ya nia yake ya kuwahurumia watu wa Mungu).
3. Yesu anaweza kutuwakilisha katika ofisi yake ya ukuhani kwa sababu ya huruma yake ya kina na upendo kwa wale waliovunjika na kudharauliwa.
a. Waebrania 2:14-18
b. Waebrania 4:15-5.2
Kristo alitenda miujiza hiyo yote... kwa uwezo na mamlaka yake ya asili. Kwa maana huu ulikuwa ni wajibu ufaao wa unaendana na asili yake, kama ilivyostahili kwake. ~ Arnobius (c. 305, E), 6.425. Ibid. uk. 100. Uungu wa kweli, kama ulivyokuwa
II. Yesu Ndiye Mtangaza Ufalme wa Mungu.
A. Picha ya kibiblia ya Yesu kama Mtangaza Ufalme wa Mungu
1. Agano la Kale katika sehemu nyingi linaonyesha kwamba Mungu ni Mfalme wa ulimwengu.
Made with FlippingBook - Share PDF online