Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

/ 6 9

M U N G U M W A N A

a. Zaburi 145:11-13

b. 1 Mambo ya Nyakati 29:11

c. Danieli 4:34-35

2. Kwa sababu ya uasi wa Shetani (yaani, Shetani = adui ) na wenzi wa kwanza wa kibinadamu, ulimwengu umetumbukia katika machafuko na dhambi.

2

a. Ibilisi amemwasi Mungu (Isa. 14:12-17 cf. Eze. 28:13-17).

b. Wanadamu walishiriki katika uasi wa hiari wa Adamu na Hawa (Mwa. 3:1-7 na Rum. 5:1-11).

3. Mungu alifanya agano na Daudi kwamba mmoja kutoka katika ukoo wake wa kifalme atakuja na kutawala kwa haki katika Ufalme wa Mungu milele (taz. 2 Sam. 7:1-17 na Zab. 89:3-4).

4. Tumaini la Ufalme ni kwamba Mungu atasimamisha tena utawala wake wa kifalme juu ya uumbaji, kumwangamiza Shetani, kulikomboa taifa la Mungu la Israeli, kukomesha utawala na uonevu wa Mataifa, na kuufanya upya uumbaji wake.

a. Katika siku ya Bwana nyoka ataangamizwa.

b. Israeli watakusanywa tena na kurejeshwa.

Made with FlippingBook - Share PDF online