Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

/ 9 3

M U N G U M W A N A

B. Kunyenyekezwa katika kifo chake: umuhimu wa kifo cha Yesu

1. Ni muhimu kama fundisho kuu katika ushuhuda wa kitume na maisha ya kiroho.

Kristo anaitwa Kondoo na Mwana-Kondoo ambaye alipaswa kuchinjwa.... Kristo pia anaitwa Jiwe.... Yeye Mwenyewe ni Hakimu na Mfalme. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.521-5.527. Ibid. uk. 370.

a. 1 Wakorintho 15:3-8

b. Wagalatia 6:14

c. Warumi 1:16

d. 1 Wakorintho 1:22-24

3

e. 1 Wakorintho 2:2

f. Wagalatia 2:20

g. Wagalatia 5:24

h. 2 Wakorintho 4:8-10

2. Ni muhimu sana kwa namna kinavyotawala katika Maandiko Matakatifu kwa kina na ukuu wa ajabu.

a. Yesu alisema kwamba kifo chake kilikuwa kiini cha ujumbe wa Agano la Kale. (1) Luka 24:27 (2) Luka 24:44-45

Made with FlippingBook - Share PDF online