Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
9 6 /
M U N G U M W A N A
c. Waebrania 9:5
d. 1 Yohana 2:2
2. Picha: Sanduku la Agano, ambalo liliitwa upatanisho (“Kiti cha Rehema”)
a. Kutoka 25:17-22 (rej. Ebr. 9:5)
b. Walawi 16:15
c. Uasi wa dhambi unafunikwa na kusamehewa kwa sababu upatanisho umetoa njia ambayo Mungu mwenye haki anaweza kumsamehe mkosaji kwa haki.
3
d. Upatanisho ulithibitisha hasira ya haki ya Mungu dhidi ya dhambi, ulifunika dhambi ya mkosaji, na kumruhusu Mungu kuwa na huruma kwa mtenda dhambi aliyetubu.
e. Upatanisho humruhusu Mungu kuthibitisha utakatifu wake usio na kikomo na wakati huo huo, kumsamehe mdhambi mwenye hatia: haki yake haiathiriwi katika kuonyesha rehema.
3. Kupitia kifo chake, Yesu anakuwa upatanisho wetu, yeye mwenyewe katika kifo chake anakuwa dhabihu kamilifu na itoshayo kwa ajili ya upatanisho.
a. Warumi 5:9
b. 1 Yohana 2:2
Made with FlippingBook - Share PDF online