Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

/ 9 5

M U N G U M W A N A

c. 1 Timotheo 2:5-6

d. 1 Petro 1:18

2. Picha: roho zilizopotea kama katika soko la watumwa, zimefungwa, zinaishi kwa kutawaliwa na kunyanyaswa, zimefungwa utumwani.

a. Ezekieli 18:4

b. Warumi 7:14

3. Kupitia kifo chake, Yesu huwakomboa wafungwa kutoka katika udhalimu wa shetani na dhambi, hutununua kwa damu yake mwenyewe na anakuwa Mmiliki na Bwana wetu mpya.

3

a. 1 Wakorintho 7:23

b. Waebrani 9:12

Kwa kumwamini utaishi. Lakini kwa kukufuru

c. Ufunuo 5:9

utaadhibiwa. Kwa maana “asiyemtii Mwana hatapata uzima.” ~ Katiba za Kitume (zilizokusanywa c. 390, E), 7.449. Ibid. uk. 575.

B. Yesu alikufa kama upatanisho wa dhambi zetu .

1. Ushahidi wa kibiblia

a. Warumi 3:25-26

b. Waebrani 2:17

Made with FlippingBook - Share PDF online