Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

/ 1 2 9

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

E. Mapitio : akrostiki ya RABBIS .

1. Anatuzaa upya , na kutufanya kuwa watu wapya kabisa.

2. Anatuasili , na kutufanya kuwa wa familia ya Mungu na kupata haki kamili za uwana-familia.

3. Anatubatiza ili tuunganishwe na waamini wengine na kujazwa na nguvu na utakatifu wa Mungu.

4. Anatoa karama zinazotuwezesha kufanya kazi ya Mungu.

5. Anakaa ndani yetu kwa uwepo wake ulio hai.

II. Kukaa kwa Roho Mtakatifu Ndani Yetu

Katika Agano la Kale Mungu alikuwa na hekalu kwa ajili ya watu wake, katika Agano Jipya Mungu ana watu wake kama hekalu lake. ~ Arthur Wallis

4

A. Ufafanuzi: kukaa kwa Roho ndani yetu ndiyo njia ambayo Mungu anakaa nasi daima.

B. Msingi wa Agano la Kale

1. Hema la kukutania, Kut. 25:8

2. Nguzo ya Wingu na ya Moto, Kut. 13:21

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker