Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

1 3 0 /

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

C. Fundisho la Agano Jipya Roho Mtakatifu kukaa ndani yetu ni fundisho la Agano Jipya hasa. Katika Agano la Kale kulikuwa na kutembelewa na Roho kwa watu binafsi, kama vile Mungu alipokuja juu ya nabii au mtu aliyefanya kazi za usanifu ili kuwatia nguvu kwa ajili ya kazi maalumu ya huduma. Lakini katika Agano Jipya, Roho anatolewa kama mkazi wa kudumu katika maisha ya wale wanaomkubali Kristo kama Bwana na Mwokozi.

1. Mafundisho ya Yesu, Yoh. 14:15-23 (ling. Mt. 18:18; 28:20)

2. Mafundisho ya Paulo

a. Roho anakaa ndani ya mwili wa kila mkristo, 1 Kor. 6:19.

b. Kanisa kwa ushirika wake ni makao ya Roho wa Mungu. (1) 1 Wakorintho 3:16 (2) Waefeso 2:18-22

4

3. Kumfahamu Roho kama wakili [paraclete].

a. Neno Paraclete (1) Katika tafsiri halisi, “mtu aliyeitwa kuwa upandewamwingine.” (2) Kisitiari: Mfariji, Mshauri, Msaidizi, au Wakili

b. Matukio na maana zake: (1) Kuwa nawe milele, Yohana 14:16

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker