Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook
/ 1 3 1
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
(2) “Atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia,” Yohana 14:26.
(3) “Yeye atanishuhudia,” Yoh. 15:26. (4) “Ni kwa faida yenu,” Yohana 16:7.
c. Namna pekee tunayoweza kudai kumjuaMungu, kusikia sauti yake, na kuuona uwepo wake ni kupitia huduma ya Roho Mtakatifu ya kukaa ndani yetu, Rum. 8:9.
D. Kanuni za kitheolojia zinazohusiana na fundisho la Roho kukaa ndani yetu
1. Ukaribu
a. Kwa njia ya Roho, Mungu anaishi katika miili yetu.
4
b. Roho hutusaidia katika udhaifu wetu.
c. Roho anatuombea na ndani yetu.
d. Roho hutuongoza katika mapenzi ya Mungu.
e. KUMBUKA: Jukumu la Roho Mtakatifu katika uongozi wa kiroho ni la muhimu sana. Tazama “Jukumu la Roho Mtakatifu katika Uongozi wa Kiroho” katika kiambatisho cha kitabu hiki cha mwanafunzi kwa maoni ya ziada kuhusu jambo hili.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker