Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook
/ 1 4 1
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
2. Ufafanuzi: uwepo na nguvu za Roho Mtakatifu huja katika maisha yetu kama muhuri wa Mungu ambao:
a. Unatutia alama kuwa sisi ni mali ya Mungu (umiliki).
b. Unatuweka chini ya mamlaka yake (ulinzi).
c. Unatuhakikishia kwamba tutarithi yale tuliyoahidiwa kama warithi pamoja na Kristo (usalama).
B. Maandiko muhimu:
1. Tena mmekwisha kumwamini yeye, na kutiwa muhuri na Roho yule wa ahadi aliye Mtakatifu, Efe. 1:13-14.
4
2. Naye ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu, 2 Kor. 1:21-22.
3. Ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi, Efe. 4:30.
C. Maana za msingi za kitheolojia kuhusiana na Kutiwa muhuri
1. Kupitia kutiwa muhuri tunapokea uhakika wa wokovu wetu.
a. Nguvu ya Mungu itendayo kazi ndani yetu, Rum. 8:11.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker