Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

/ 1 4 9

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

akupe maarifa zaidi juu ya njia zake pale utakapokuwa ukiwashirikisha wengine maarifa yako kupitia Kazi ya Huduma kwa vitendo.

Je, kuna masuala yoyote, watu, hali, au fursa zinazohitaji kuombewa kama matokeo ya kujifunza kwako somo hili? Je, ni masuala gani hasa au watu ambao Mungu ameweka katika moyo wako kupitia somo hili, ambao wanahitaji dua na maombi mahususi? Chukua muda wa kutafakari hili, na upokee msaada unaohitajika katika ushauri na maombi kwa ajili ya yale ambayo Roho amekuonyesha.

Ushauri na Maombi

MAZOEZI

Hakuna Maandiko ya kukariri

Kukariri Maandiko

Hakuna kazi ya kukabidhi

Mazoezi ya Usomaji

Kufikia wakati huu unapaswa kuwa umeainisha mapendekezo yako kuhusu kile utakachofanya kwa habari ya Kazi ya Huduma na Kazi ya Ufafanuzi wa Maandiko, na mapendekezo hayo yawe tayari yamepitiwa na kuidhinishwa na mkufunzi wako. Hakikisha kwamba unapanga mambo yote mapema, ili usichelewe kutekeleza na kukusanya kazi zako. Mwishoni kutakuwa na mtihani wa kufanyia nyumbani, na utajumuisha maswali yaliyochukuliwa kutoka kwenye majaribio matatu ya kwanza, maswali mapya kutokana na maelezo ya somo hili, na maswali ya insha ambayo yatakutaka utoe majibu mafupi kwa maswali ya msingi yenye lengo la kuhusianisha somo na huduma na maisha. Pia, wakati wa mtihani, ni muhimu ujiandae kwa maswali ya kunukuu au kuandika mistari ya kukariri ya kozi hii. Utakapomaliza mtihani wako, tafadhali mjulishe mkufunzi wako na uhakikishe anapata nakala ya mtihani wako. Tafadhali zingatia: Ufaulu wako katika moduli hii hauwezi kupimwa na kujulikana kama hautafanya mtihani wa mwisho na kukusanya kazi zote na kuzikabidhi kwa mkufunzi wako (Fomu ya Ripoti ya Usomaji, kazi za kihuduma, kazi za ufafanuzi wa Maandiko, na mtihani wa mwisho).

Mazoezi Mengine

4

Taarifa Kuhusu Mtihani wa Mwisho

Katika somo hili tumejifunza kwamba Roho Mtakatifu ni Mungu mwenyewe, nafsi ya tatu ya Mungu mmoja katika Utatu. Tumejifunza kwamba yeye si nguvu au

Neno la Mwisho kuhusu Moduli Hii

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker