Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

1 6 4 /

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

Kanisa ni jumuiya takatifu ambapo nidhamu inafuatwa kwa usahihi, hivyo ni jumuiya ya: Upatanisho - Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. Akawapatanisha wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuumaliza ule uadui kwa huo msalaba. Akaja akahubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mba li, na amani kwao wale waliokuwa karibu. Kwa maana kwa yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Baba katika Roho mmoja. - Efe. 2.14-18 (linganisha. Kut. 23.4-9; Kumb. 19.34; Kum. 10.18-19; Eze. 22.29; Mik. 6.8; 2 Kor. 5.16-21) Mateso - Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi. Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani. - 1 Pet. 4.1-2 (linganisha. Luka 6.22; 10.3; Rum. 8.17; 2 Tim. 2.3; 3.12; 1 Pet. 2.20-24; Ebr. 5.8; 13.11-14) Huduma - Lakini Yesu akawaita, akasema, mwajua ya kuwa wakuu wa mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao

Imani - “kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, hakika mtakufa katika dhambi zenu”. . . Kwa wayahudi ambao walikuwa wam emwamini, Yesu alisema, “ninyi mkikaa katika Neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kwelikweli. Tena mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru” - Yohana 8.24b, 31-32 (linganisha. Zab. 119.45 ; Rum. 1.17; 5.1-2; Efe. 2.8-9; 2 Tim. 1.13-14; Ebr. 2.14-15; Yakobo 1.25) Ushuhuda - Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, na vipofu kupata kuona tena, kuwa acha huru walioteswa, na kuutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa. - Luka 4.18-19 (ling. Kumb. 25.10 ; Mit. 31.8; Mt. 4.17; 28.18-20; Marko 13.10; Mdo 1.8; 8.4, 12; 13.1-3; 25.20; 28.30-31) Kanisa ndio jumuiya pekee ambayo sakramenti inatolewa kwa usahihi, hivyo ni jumuiya ya: Ibada - Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako- Kut. 23.25 (linganisha. Zab. 147.1-3; Ebr. 12.28; Kol. 3.16; Ufu. 15.3-4; 19.5) Agano - “Na Roho Mtakatifu naye amshuhudia; kwa maana baada ya kusema, hili ni Agano nitakalo agana nao baada ya siku zile, anena Bwana, nitatia sheria zangu mioyoni mwao, na katika nia zao nitaziandika; ndipo anenapo, dhambi zao na uasi wao sitaukumbuka tena kabisa. ” - Ebr. 10.15-17 (linganisha. Isa. 54.10-17; Eze. 34.25-31; 37.26-27; Mal. 2.4-5; Luka 22.20; 2 Kor. 3.6; Kol. 3.15; Ebr. 8.7-13; 12.22-24; 13.20-21) Uwepo - Na katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho. - Efe. 2.22 (linganisha. Kut. 40.34-38; Eze. 48.35; Mt. 18.18-20)

Tumaini - Rum. 15.13 Bwana wa Kanisa Kanisa Jumuiya moja, takatifu, ya kitume ambayo inafanya kazi kama shahidi (Mdo 28.31) na kionjo cha (Kol 1,12; Yakobo 1.18, 1Pet 2.9; Ufu.1.6) Ufalme wa Mungu. Kanisa ni jamii ya kitume ambamo Neno linahubiriwa kwa usahihi, hivyo hii ni jamii ya: Wito - Katika ungwana huo Kristo alituandika huru; kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa- Gal. 5.1 (linganisha. Rum. 8.28-30; 1 Kor. 1.26-31; Efe. 1.18 ; 2 The. 2.13-14; Yuda 1.1)

Roho

huwatumikisha. Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; na mtu yeyote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu; kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi..” - Mt. 20.25-28 (ling. 1 Yohana 4.16-18; Gal. 2.10)

Mwana Imani - Ebr. 12.2 Ufalme Nabii, Kuhani, na Mfalme Uhuru

Utawala wa Mungu una (Utumwa)

onyeshwa katika utawala

wa Mwanaye Yesu Masihi

Yesu akajibu, “amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa

dhambi. Wala mtumwa Uzima hakai nyumbani siku zote; Mwana hukaa sikuzote. (Ugonjwa)

Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.” - Yohana 8.34-36

Bali alijeruhiwa kwa ma

kosa yetu, alichubuliwa

kwa maovu yetu; adhabu

ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa

kwake sisi tumepona. - Isa. 53.5

Haki

(Ubinasi)

Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; mpendwa

wangu, moyo wangu uli yependezwa naye; nitatia Roho yangu juu yake, naye atawatangazia mataifa hukumu. Hatateta wala

hatapaza sauti yake; wala mtu hatasikia sauti yake nji ani. Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi

utokao moshi hata uzima, hata ailetapo hukumu

ikashinda. - Mt. 12.18-20

Rum. 8.18-21 

Ufu. 21.1-5 

Isa. 11.6-9 

Utawala wa Mmoja, wa Kweli, Mwenye Nguvu, na Mungu wa Utatu, Bwana Mungu, Yahwe, Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu

K I A M B A T I S H O C H A 1 0 Mpangilio wa Theolojia ya Ufalme na Kanisa Taasisi ya The Urban Ministry Institute Upendo - 1 Yohana 4.8 Muumbaji wa mbingu na dunia na vitu vyote vina vyoonekana na visivyoonekana Uumbaji Vyote vilivyopo vinatokana na kazi ya uumbaji wa Mungu Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu. Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu. Kwa maana viumbe Baba

vyote pia vilitiishwa chini ya ubatili; si kwa hiari yake, ila kwa sababu yake ila kwa sababu yake yeye aliyevitiisha ka tika tumaini; kwa kuwa viumbe vyenyewe navyo vitawekwa huru na kutolewa katika utumwa wa uharibifu, hata viingie katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu.

kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu ya kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. Nami nikauona mji ule Mtakatifu, Yerusalemu mpya ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi harusi aliyekwisha kupambwa na mumewe. Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti

cha enzi ikisema, tazama maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa

pamoja nao. Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwepo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu, hayatakuwepo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita. Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.

Mbwa-mwitu atakaa pamoja na Mwana-mbuzi; ndama na Mwana-simba na kinono watakauwa pamoja, na mtoto Mdogo atawaongoza. Ng’ombe na dubu watalisha pamoja; na simba atakula majani kama ng’ombe. Na mto to anyonyaye atacheza penye tundu la nyoka, na mtoto

aliyeachishwa atatia mkono wake katika pango la fira. Hawatadhuru wala hawata haribu katika mlima wangu wote Mtakatifu; maana dunia itajawa na kumjua Bwana, kama vile maji yanavyoifunika bahari.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker