Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

/ 1 6 5

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

K I A M B A T I S H O C H A 1 1 Kuishi Katika Ufalme Uliopo Tayari, Ambao Bado Haujaja Mch. Dkt. Don L. Davis Roho: Ahadi ya Urithi (arrabon) Kanisa: Kionjo (aparche) cha Ufalme “Ndani ya Kristo”: Uzima tele (en christos) tunaoshiriki kama raia wa Ufalme

Kuja Mara ya Pili

Madhihirisho wa Utawala wa Ufalme wa Mungu katika Agano la Kale

Ulimwengu Ujao

Milele pamoja na Mungu na Kristo katika siku zisizo na mwisho za Ufalme

Kuishi katika Ufalme Uliopo Tayari, ambao bado haujaja (The Eschaton)

Kufanyika mwili :

katika Yesu wa Nazareti

Kuanzishwa kwa ufalme

Wakati Huu wa Sasa

Adui wa ndani: Mwili ( sarx ) na asili ya dhambi Adui wa nje: Ulimwengu ( kosmos ) mifumo ya dhuluma, tamaa na kiburi Adui wa kuzimu: Shetani ( kakos ) Roho yenye kuleta uongo na hofu

Mtazamo wa Kiyahudi Kuhusiana na Wakati

Wakati wa Sasa

Wakati Ujao

Kuja kwa Masihi Urejesho wa Israeli

Mwisho wa kukandamizwa na watu wa mataifa Kurejea kwa dunia katika utukufu wa Edeni Ulimwengu wote kumjua Bwana

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker