Mungu Roho Mtakatifu, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 14 Swahili Student Workbook

/ 2 0 1

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

Kazi ya Roho Mtakatifu katika Uongozi wa Kiroho (muendelezo)

(2) Umuhimu wa usikivu. Ninalifanya kuwa ni jukumu langu kudumu katika uwepo wake Mtakatifu, ambamo ninajiweka kwa uangalifu na heshima kwa Mungu, ambamo naweza kuita UWEPO HALISI wa Mungu; au, kwa lugha nzuri zaidi, mazungumzo ya kawaida, ya kimya na ya siri ya nafsi yangu na Mungu, ambayo mara nyingi hunisababishia shangwe na kunyakuliwa kwa ndani, na wakati mwingine pia kwa nje, kwa ukubwa sana, kiasi kwamba ninalazimika kutumia mbinu fulani kuzidhibiti na kuzizuia kuonekana kwa wengine. ~ Ndugu Lawrence alinukuu kutoka kwa Dallas Willard. Hearing God . (3) Maombi ya Mtakatifu Anselm wa Canterbury (1033-1109). Nifundishe kukutafuta Na ninapokutafuta, jionyeshe kwangu, Kwa maana siwezi kukutafuta usiponionyesha jinsi gani, Na sitakupata kamwe isipokuwa umejionyesha kwangu.

Acha nikutafute kwa kukutamani, Na kukutamanini kwa kukutafutani; Acha nikupate kwa kukupenda, Na kukupenda kwa kukupata. Amina.

IV. Kwa faida ya kujisomea zaidi, pitia vitabu hivi:

Richard J. Foster. Chapter 12. “Guidance.” Celebration of Discipline: The Path to Spiritual Growth. San Francisco: HarperSanFrancisco, 1998. Gordon T. Smith. The Voice of Jesus: Discernment, Prayer and the Witness of the Spirit . Downers Grove, IL: InterVarsity Press, 2003 Charles Stanley. How to Listen to God. Nashville: Thomas Nelson, 1985. Mark Water. Knowing God’s Will Made Easier. Peabody, MA: Hendrickson, 1998.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker