Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
1 1 4 /
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
MAZOEZI
Warumi 8:22-25
Kukariri Maandiko
Ili kujiandaa kwa ajili ya kipindi, tafadhali tembelea www.tumi.org/books kupata kazi ya usomaji ya wiki ijayo, au muulize Mkufunzi wako.
Kazi ya usomaji
Kama kawaida unatakiwa kuja na Fomu ya Ripoti ya Usomaji ikiwa na muhtasari wako wa kazi usomaji ya wiki. Pia, unapaswa kuendelea kujipanga kwa ajili ya kazi yako ya Ufafanuzi wa Maandiko, na ukabidhi mapendekezo yako kuhusiana na kazi yako ya huduma ambayo utapaswa kukabidhi mwishoni moduli hii. Kipindi kijacho tunakamilisha moduli yetu ya Roho Mtakatifu kwa kuendelea kuchimbua zaidi kuhusu kazi ambayo Roho Mtakatifu hufanya katika maisha ya mwamini. Mungu asifiwe kwa ajili ya ahadi ya Kristo kwamba asingetuacha peke yetu bali angemtuma Roho Mtakatifu awe uwepo wake mwenyewe uliohai katika maisha yetu (Yohana 14:18). Msingi wa kuishi maisha ya Kikristo ni kuelewa kwamba hatujaachwa tuishi kwa juhudi na hekima yetu wenyewe, badala yake ni kwamba, kwa njia ya Roho Mtakatifu, nguvu na uwepo wa Kristo daima uko pamoja na watu wake.
Kazi Nyingine
ukurasa 259 14
Kuelekea Somo Linalofuata
3
Mtaala huu ni matokeo ya maelfu ya masaa ya kazi iliyofanywa na taasisi ya The Urban Ministry Institute (TUMI) na haupaswi kudurufu bila idhini ya taasisi hiyo. TUMI inatoa idhini kwa yeyote anayehitaji kutumia vitabu hivi kwa ajili ya faida ya ufalme wa Mungu, kwa kutoa leseni za kudurufu za gharama nafuu. Tafadhali thibitisha kwa Mkufunzi wako ikiwa kitabu hiki kimepewa leseni ipasavyo. Kwa taarifa zaidi kuhusu TUMI na taratibu zetu za utoaji leseni, tembelea www.tumi.org na www.tumi.org/license .
Made with FlippingBook - Share PDF online