Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

1 4 0 /

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

b. Maandiko yanafundisha kwamba mtu ambaye ni mtakatifu zaidi ndiye anayejua zaidi dhambi yake na anajilinda zaidi na majaribu. (1) 1 Wakorintho 10:12 (2) Mithali 27:1-2 (linganisha na Ayubu 9:20) (3) Isaya 6:5 (4) Wafilipi 3:12-16

5. Mateso ni zana inayotumiwa na Mungu katika mchakato wa utakaso.

a. Zaburi 119:67

b. 1 Petro 4:1

c. Waebrania 5:8

4

II. Roho Mtakatifu Anayetia Muhuri Wokovu Wetu

A. Muhuri: kuweka alama juu ya kitu ili kuonyesha kuwa ni cha kweli (halisi), kinakubalika, au kina mamlaka.

1. “Muhuri” ( sphragis ) ulikuwa na matumizi mbalimbali, yote yakiwa na maelekezo kama neno hilo linavyotumiwa na RohoMtakatifu. Muhuri ulipigwa kwenye maandishi au hati fulani kuonyesha kwamba hati hiyo ni halisi (haijabadilishwa). Ulikuwa unawekwa kwenye bidhaa mbalimbali zinaposafirishwa ili kuonyesha mmiliki na kuhakikisha ulinzi wa bidhaa hizo. Pia uliwakilisha ofisi fulani maalum katika huduma za kiserikali. (A. Skevington Wood, “Ephesians,” The Expositor’s Bible Commentary ) .

Made with FlippingBook - Share PDF online