Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

/ 1 5 7

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

K I A M B A T I S H O C H A 5 Christus victor: Maono jumuishi kwa maisha ya mkristo na ushuhuda Mch. Dkt. Don L. Davis

Kwa ajili ya Kanisa • Kanisa ni msingi wa kuenea kwa Yesu ulimwenguni. • Hazina ya washindi iliyohifadhiwa, Kristo aliye fufuka. • Laos: Watu wa Mungu. • Uumbaji upya wa Mungu: Uwepo wa wakati ujao. • Mwenye kutimiza na wakala wa ufalme uliopo/ ule usio kuwepo bado. Kwa ajili ya Vipawa • Kutiwa nguvu na Mungu kwa neema na faida zitokanazo na Christus Victor • Ofisi ya kichungaji kwa Kanisa • Ugawaji wa vipawa toka kwa Roho Mtakatifu mwenye nguvu • Uwakili: kiroho, vipawa mbalimbali kwa manufaa ya wote.

Kwa Theolojia na Fundisho • Neno lenye mamlaka la ushindi wa Kristo: Mila na Desturi ya kitume: Maandiko Matakatifu. • Theolojia kama ufafanuzi wa simulizi kubwa ya Mungu. • Christus Victor kama kiini cha mfumo wa kitheolojia kuhusu ufafanuzi katika ulimwengu. • Kanuni ya Imani ya Nikea: Hadithi ya neema ya ushindi wa Mungu.

Kwa ajili ya Kiroho • Uwepo wa Roho Mtakatifu na nguvu miongoni mwa watu wa Mungu. • Kushiriki katika maonyo ya Roho. • Mikusanyiko, mihadhara, liturujia, na maadhimisho katika mwaka wa Kanisa. • Kuishi katika maisha ya Kristo aliye fufuka kwenye hali zetu za maisha ya kawaida. Kwa ajili ya Ibada • Watu wa ufufuko: Sherehe isiyo na mwisho ya watu wa Mungu. • Kukumbuka, kushiriki katika tukio la Kristo katika ibada zetu. • Sikiliza na itikia Neno la Mungu. • Kubadilishwa mezani, meza ya Bwana. • Uwepo wa Baba kupitia Mwana katika Roho.

Christus victor Mwangamizi wa Uovu na Kifo Mrejeshaji wa Uumbaji Mshindi dhidi ya Kuzimu na Dhambi Mpondaji wa Shetani

Kwa ajili ya Haki na Huruma • Udhihirisho wa neema na ukarimu wa Yesu kupitia Kanisa • Kanisa linaonyesha maisha halisi ya ufalme • Kanisa linadhihirisha maisha halisi ya ufalme wa mbinguni likiwa bado hapa duniani sasa • Tukiwa tumepokea bure, basi tunatoa bure (hakuna hali yoyote ya faida au kiburi) • Haki kama ushahidi unao onekana wa ufalme uliopo

Kwa ajili ya Uinjilisti na Umisheni • Uinjilisti kama tangazo na udhihirisho usio tahayari wa Christus Victor kwa ulimwengu • Injili kama habari njema ya ahadi ya Ufalme • Tunatangaza Ufalme wa Mungu umekuja kwa njia ya Yesu wa Nazareti • Agizo kuu: Enendeni kwa makundi yote ya watu mkiwafanya kuwa wanafunzi wa Kristo na Ufalme wake. • Mkitangaza kuwa Kristo ni Bwana na Masihi.

Made with FlippingBook - Share PDF online