Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
/ 1 5 9
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
K I A M B A T I S H O C H A 7 Muhtasari wa Mwongozo wa Maandiko Mch. Dkt. Don L. Davis
1. Mwanzo – Mianzo a. Adamu b. Nuhu c. Ibrahamu d. Isaka
12. 2 Wafalme – Ufalme Uliogawanyika a. Elisha b. Israeli (ufalme wa kaskazini unaanguka) c. Yuda (ufalme wa kusini unaanguka) 13. 1 Mambo ya Nyakati – Mipango kwa Ajili ya Hekalu la Daudi a. Vizazi (Koo) b. Mwisho wa utawala wa Sauli c. Utawala wa Daudi d. Maandalizi ya hekalu 14. 2 Mambo ya Nyakati – Hekalu na Ibada Vinatelekezwa a. Sulemani b. Wafalme wa Yuda 15. Ezra – Kundi la Wachache (mabaki) a. Kurejea kwa mara ya kwanza toka uhamishoni- Zerubabeli b. Kurejea kwa mara ya pili toka uhamishoni- Ezra (kuhani) 16. Nehemia – Kujenga Upya kwa Imani a. Kujenga upya kuta b. Uamsho c. Matengenezo ya kidini
23. Isaya – Haki (hukumu) na neema (faraja) ya Mungu a. Nabii za hukumu b. Historia c. Nabii za baraka Inayowapelekea Kuingia katika Utumwa wa Babeli a. Wito wa Yeremia; kutiwa nguvu b. Yuda ina laaniwa; utabiri wa utumwa wa Babeli c. Urejesho unaahidiwa d. Hukumu iliyotabiriwa kutolewa e. Nabii dhidi ya watu wa Mataifa f. Muhtasari wa utumwa wa Yuda 25. Maombolezo – Maombolezo Juu ya Yerusalemu a. Mateso ya Yerusalemu b. Kuharibiwa kwa sababu ya dhambi c. Mateso ya nabii d. Ukiwa uliopo dhidi ya utukufu uliopita e. Kumuomba Mungu rehema 26. Ezekieli – Utumwa na Urejesho wa Israeli a. Hukumu ya Yuda na Yerusalemu b. Hukumu kwa mataifa ya wasio waisraeli c. Israeli inarejeshwa; utukufu ujao kwa Yerusalemu 27. Danieli– Nyakati za Watu wa Mataifa a. Historia; Nebukadreza, Belshaza, Danieli b. Unabii 28. Hosea – Kutokuwepo kwa Uaminifu a. Kutokuwepo kwa uaminifu 24. Yeremia – Dhambi ya Yuda
32. Yona – Wokovu kwa Watu wa Mataifa
a. Yoha anakataa kutii b. Wengine wanateseka
c. Yona anaadhibiwa d. Yona anatii; maelfu wanaokolewa e. Yona hapendezwi, hana upendo kwa ajili ya nafsi za watu 33. Mika – Dhambi ya Israeli, Hukumu na Urejesho. a. Dhambi na hukumu b. Neema na urejesho wa wakati ujao c. Maombi ya msamaha na dua 34. Nahumu – Ninawi Inaharibiwa a. Mungu anachukia dhambi b. Adhabu ya Ninawi inatabiriwa c. Sababu za adhabu 35. Habakuki – Mwenye Haki Ataishi kwa Imani a. Malalamiko juu ya dhambi ya Yuda ambayo haijahukumiwa b. Wakaldayo watahukumu c. Malalamiko juu ya uovu wa wakaldayo d. Adhabu inaahidiwa e. Maombi kwa ajili ya uamsho; imani katika Mungu 36. Zefania– Uvamizi wa Babeli Unatoa Picha ya Awali ya Siku ya Bwana a. Hukumu ya Yuda inaashiria siku kuu ya Bwana b. Hukumu ya Yerusalemu na majirani zake ina ashiria hukumu ya mwisho ya ya mataifa yote c. Israeli inarejeshwa baada ya hukumu 37. Hagai – Kujenga Upya Hekalu a. Uzembe b. Ujasiri c. Kutenganishwa d. Hukumu 38. Zekaria – Kuja kwa Kristo kwa Aina Mbili a. Maono ya Zekaria b. Swali la Betheli; jibu la Yehova c. Anguko la taifa na wokovu
e. Yakobo f. Yusufu
2. Kutoka – Ukombozi (kutoka kwenye…) a. Utumwa b. Ukombozi c. Sheria d. Hema Takatifu 3. Mambo ya walawi – Ibada na Ushirika a. Sadaka na dhabihu b. Makuhani c. Sherehe na sikukuu 4. Hesabu – Utumishi na Matembezi a. Yaliyo pangwa b. Kutangatanga a. Musa anapitia upya historia na sheria b. Sheria za kiraia na kijamii c. Agano la Palestina d. Baraka na kifo cha Musa 6. Yoshua – Ukombozi (kuingia) a. Kuiteka nchi b. Kuigawanya nchi c. Kuaga kwa Yoshua 7. Waamuzi – Wokovu wa Mungu a. Kutotii na hukumu b. Waamuzi kumi na wawili wa Israeli 5. Kumbukumbu la torati – Utii a. Ruthu anachagua b. Ruthu anafanya kazi c. Ruthu anasubiri d. Ruthu anapata malipo mema 9. 1 Samweli – Wafalme, Mtazamo wa Kikuhani a. Eli b. Samweli c. Sauli d. Daudi 8. Ruthu – Upendo
17. Esta – Mwokozi wa Kike a. Esta
b. Hamani c. Modekai d. Ukombozi: Sherehe ya Purimu
18. Ayubu – Kwanini Mwenye Haki Huteseka a. Ayubu mtauwa b. Mashambulizi ya Shetani c. Marafiki wanafalsafa wanne d. Mungu anaishi
c. Mazingira ya kutokuwa na sheria
19. Zaburi– Maombi na Sifa a. Maombi ya Daudi
b. Adhabu c. Urejesho
b. Mateso ya mtauwa; ukombozi c. Mungu anashughulika na Israeli d. Kuteseka kwa watu wa Mungu - mwisho ulio pamoja na utawala wa Bwana e. Neno la Mungu(mateso ya Masihi na kurudi kwake katika utukufu) a. Hekima dhidi ya upumbavu b. Sulemani c. Sulemani - Hezekia d. Aguri e. Lemueli
29. Yoeli – Siku ya Bwana a. Tauni ya nzige
b. Matukio ya siku ya Bwana inayokuja c. Mfumo wa siku ya Bwana inayokuja
20. Mithali – Hekima
30. Amosi – Mungu Anahukumu Dhambi a. Majirani wanahukumiwa b. Israeli inahukumiwa c. Maono ya hukumu ijayo. d. Hukumu ya awali ya Israeli na baraka zake 31. Obadia – Uharibifu wa Edomu a. Uharibifu unatabiriwa b. Sababu za uharibifu
10. 2 Samweli – Daudi
a. Mfalme wa Yuda (miaka 9 - Hebroni) b. Mfalme wa Israeli yote (miaka 33 - Yerusalemu)
21. Mhubiri – Ubatili
a. Kufanya majaribio b. Kutazama matokeo c. Kuzingatia kilichotokea
11. 1 Wafalme – Utukufu wa Sulemani, Kuanguka kwa Ufalme wake
39. Malaki – Kupuuza
a. Dhambi za kuhani b. Dhambi za watu c. Waaminifu wachache
a. Utukufu wa Sulemani b. Kuanguka kwa ufalme c. Nabii Eliya
22. Wimbo Uliobora – Hadithi ya Mapenzi
c. Baraka ya wakati ujao kwa Israeli
Made with FlippingBook - Share PDF online