Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
/ 1 7 3
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
Mila (muendelezo)
Kiambatisho B
Kufafanua “Mapokeo Makuu”
Mapokeo Makuu (wakati fulani yanaitwa “Mapokeo ya kikristo ya zamani”) yanafafanuliwa na Robert E. Webber kama ifuatavyo [ni] muhtasari mpana wa imani ya kikristo na matendo yanayoendelezwa kutoka kwenye Maandiko kati ya wakati wa Kristo na katikati mwa karne ya tano. ~ Webber. The Majestic Tapestry. Nashville: Thomas Nelson Publishers, 1986. uk. 10. Mapokeo haya yanatumiwa zaidi na wanatheolojia Wakiprotestanti wale wa Kale na wasasa Hivyo ile Mitaguso ya Nikea, Konstantinopoli, wa kwanza katika Efeso, Kalsedonia na inayofanana na hiyo, ambayo ilikuwa inafanyika ili kuzuia makosa; kwa hiari tunaitambua na kuiheshimu kama mitakatifu, kwa vile inavyohusiana na mafundisho ya imani, kwasababu haina kitu chochote kingine isipokuwa tafsiri njema na halisi ya Maandiko, ambayo Mababa watakatifu wenye hekima waliyatumia kuwaponda adui wa dini ambao walikuwa wameibuka kipindi hicho. ~ John Calvin. Institutes. IV, ix. 8. . . . Jambo kubwa zaidi kati ya yale yenye thamani ya kudumu katika ufafanuzi wa Biblia wa nyakati hizi, liligundulika kipindi cha karne ya tano. ~ Thomas C. Oden. The Word of Life. San Francisco: HarperSanFrancisco, 1989. uk. xi Mitaguso minne ya Kwanza ina umuhimu mkubwa, kwa kuwa iliiweka sawa Imani ya Kiothodoksi kuhusiana na Utatu na ukweli kuhusu kufanyika mwili. ~ Philip Schaff. The Creeds of Christendom. Vol. 1. Grand Rapids: Baker Book House, 1996. uk. 44. Marejeo yetu kwenye mitaguso ya Kiekumene na imani, yanalenga kwenye ile mitaguso ambayo inahifadhi makubaliano yaliyoenea katika Kanisa hasa kwa Wakatoliki, Waothodoksi na Waprotestanti. Wakati ambapo Wakatoliki na Waothodoksi wanatumia makubaliano yatokanayo na mitaguso saba ya mwanzo, Waprotestanti wanathibitisha na kutumia minne ya mwanzo. Hivyo
Made with FlippingBook - Share PDF online