Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
2 6 /
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
(5) Warumi 8:14
d. Roho anashuhudia. (1) Yohana 15:26 (2) 1 Yohana 5:6.
e. Roho anawaombea Wakristo Rum 8:26 (linganisha na Yuda 1:20).
ukurasa 234 13
1
4. Roho katika Maandiko ameitikiwa kama nafsi.
Kuna vifungu kadhaa vya Maandiko pia ambavyo vinamtofautisha Roho Mtakatifu na nguvu zake. Luka 1:35; 4:14; Mdo 10:38; Rum. 15:13; 1 Kor. 2.4. Vifungu vya Maandiko vya namna hii vingekuwa vinaonyesha kitu kilekile tu ambacho kimejirudia mara mbili, vingekuwa havina maana na upuuzi, kama vingetafsiriwa katika dhana ya kwamba Roho Mtakatifu ni kani (nguvu) tu. Hili linaweza kuonyeshwa kwa kubadilisha Jina “Roho Mtakatifu” na neno kama “nguvu” au “ushawishi.” ~ L. Berkhof. Systematic Theology . Grand Rapids, MI: Eerdmans, 1941. uk. 96.
a. Anaweza kuhuzunishwa na kufanyiwa jeuri. (1) Isaya 63:10 (2) Waefeso 4:30 (3) Waebrania 10:29
b. Watu wanaweza kujaribu kumdanganya, Mdo 5:3.
5. Nafsi ya Roho ni tofauti na nguvu zake.
a. Matendo 10:38 -... habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu naye akazunguka huku na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Ibilisi; kwa maana Mungu alikuwa pamoja naye.
b. 1Wakorintho 2:4 -... Na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima, yenye kushawishi akili za watu, bali kwa dalili za Roho na za nguvu.
Made with FlippingBook - Share PDF online