The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide

/ 5 5

UFALME WA MUNGU

E. Udhihirisho wa Ufalme kama uliopo “tayari” (uliozinduliwa na kutimizwa)

1. Utume wake , 1 Yohana 3:8

2. Kuzaliwa kwake kunawakilisha uvamizi wa utawala wa Mungu katika utawala wa Shetani, Luka 1:31-33.

3. Ujumbe wake ulikuwa kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia, Mk 1:14-15.

2

4. Mafundisho yake yanawakilisha maadili ya Ufalme, Mt. 22.37-38.

5. Miujiza yake inafunua kwa watu wote wapate kuona mamlaka na uweza wake wa kifalme, Mk 2:8-12.

6. Kutoa kwake pepo kunawakilisha “kufungwa kwa mtu mwenye nguvu,” Lk 11:14-20.

7. Maisha yake na matendo yake yanaonyesha utukufu wa Ufalme, Yohana 1:14-18.

8. Kifo chake kinawakilisha kushindwa kwa Shetani, na adhabu ya dhambi, Kol. 2:15.

II. Pili, Utawala wa Mungu umezinduliwa na kutimizwa kupitia Yesu kama Christus Victum , Shujaa ambaye kifo chake kimezishinda nguvu za uovu, na kulipia adhabu ya dhambi.

A. Yesu Kristo kama Mwanakondoo wa Pasaka wa Agano.

Made with FlippingBook Learn more on our blog