The Kingdom of God, Swahili Student Workbook
5 6 /
UFALME WA MUNGU
1. Kama vile mwana-kondoo asiye na waa alivyokuwa ishara ya rehema ya agano la Mungu, vivyo hivyo Yesu sasa amekuwa Mwana-Kondoo wa Pasaka wa agano jipya, 1 Kor. 5:7-8.
2. Katika Yesu wa Nazareti, Pasaka ya Mungu, utimilifu wa adhabu ya Mungu juu ya dhambi na msamaha kwa watu wake umekamilika.
B. Kama sadaka ya mwisho na Kuhani Mkuu Mkuu: mwili na damu ya Yesu
1. Yesu ni ukamilisho na ukomo wa ukuhani wa Walawi na mfumo wa dhabihu wa Agano la Kale.
2
2. Zaidi ya hayo, Yesu anasimama kama Kuhani Mkuu wetu mmoja na wa mwisho ambaye ametoa damu yake mwenyewe katika Hema la Kukutania mbinguni mbele za Baba.
3. Ebr. 9:11-12
C. Nguvu mara mbili: mateso na kifo cha Yesu (adhabu ya dhambi, nguvu juu ya uovu)
1. Yesu kama Shujaa wa Kiungu wa Mungu, kupitia mateso na kifo chake, amemshinda Shetani, laana, kuzimu, na adhabu yetu kwa kuibeba katika mwili wake mwenyewe.
2. Yesu alibeba zaidi msalabani adhabu ya dhambi zetu, na nguvu ya uovu kusumbua na kuharibu maisha yetu.
3. Uharibifu juu ya kifo na ujumbe wa uhuru, Ebr. 2:14-15
Made with FlippingBook - Online catalogs