The Kingdom of God, Swahili Student Workbook

/ 5 9

UFALME WA MUNGU

j. Wanafunzi kumi na mmoja kwenye mlima wa Galilaya, Mt. 28:16-20

k. Wanafunzi wakati wa kupaa kwake, Lk 24:44-53

l. Stefano kabla ya kuuawa kwake, Mdo 7:55-56

m. Paulo akiwa njiani kuelekea Dameski, Mdo 9:3-6

n. Paulo huko Uarabuni, Mdo 20:24

2

o. Paulo hekaluni, Mdo 22:17-21

p. Paulo gerezani huko Kaisaria, Mdo 23:11

q. Mtume Yohana katika maono ya Ufunuo, Ufu. 1:12-20

D. Ufufuo wake unamaanisha nini?

1. Ufufuo wake ni ishara ya cheo chake cha Uwana mtakatifu, Rum. 1:4.

2. Ufufuo wake ni utimilifu wa agano la Daudi kama Petro anavyosema katika mahubiri yake ya Pentekoste, Mdo. 2:25-31.

3. Ufufuo wake pia unadhihirisha kwamba Kristo sasa ndiye chanzo cha uzima mpya kwa wote wanaomwamini (1 Yoh. 5:11-12).

Made with FlippingBook - Online catalogs