The Kingdom of God, Swahili Student Workbook
5 8 /
UFALME WA MUNGU
B. Ufufuo wa Yesu ni ishara ya upatanisho wa Mungu, uthibitisho wa kuhesabiwa kwetu haki, na ishara ya kuinuliwa kwa Yesu.
C. Uhakika wa ufufuo: ushuhuda na kuonekana kwake.
1. Yesu alitabiri kifo na ufufuo wake, Mt. 16:21.
2. Kuonekana kwake
a. Maria Magdalene, Yohana 20:11-17
2
b. Wanawake kaburini, Mt. 28:9-10
c. Petro, Luka 24:34
d. Wanafunzi waliokuwa njiani kuelekea Emau, Mk 16:12-13
e. Wale kumi pamoja bila Tomaso, Yohana 20:19-24
f. Wanafunzi kumi na mmoja wiki moja baada ya ufufuo, Yohana 20:26-29
g. Wanafunzi saba kando ya Bahari ya Galilaya, Yoh 21:1-23
h. Wale mia tano, 1 Kor. 15:6
i. Yakobo, ndugu yake Bwana, 1 Kor. 15:7
Made with FlippingBook - Online catalogs