The Kingdom of God, Swahili Student Workbook

8 0 /

UFALME WA MUNGU

I. Kanisa ni wakala wa Ufalme kupitia Ibada yake kwa Mungu kama Mfalme na Bwana. Shauku ya Baba: watu watakaomwabudu katika roho na kweli (Yohana 4:24).

Muhtasari wa Sehemu ya 2 ya Video

A. Utambulisho wa msingi zaidi wa Kanisa: kutangaza matendo ya ajabu ya Mungu kwa ulimwengu kupitia ibada, 1 Pet. 2:9-10.

B. Asili ya uzima wa milele ni kumjua Mungu Baba, na Yesu Kristo, aliyetumwa naye (Yohana 17:3).

C. Ibada ya Mwenyezi Mungu katika Kanisa ni mojawapo ya sifa bainifu zaidi za Kanisa la kihistoria.

3

1. Ilikuwa ni tabia na mazoea ya ushirika wa kwanza wa Kikristo.

2. Maagizo ya Paulo kwa Wakorintho kukutana na kuweka kando matoleo yao siku ya kwanza ya juma, 1 Kor. 16:2.

3. Ebr. 10:23-25

D. Maagizo ya Paulo kuhusu ibada katika Kanisa yanaifanya ibada kuwa kipaumbele kikuu cha waumini waliokusanyika, Efe. 5:18-20.

E. Watu wa Mungu wa Agano la Kale na Kanisa la Agano Jipya: wameunganishwa katika kumwabudu Mwenyezi Mungu.

1. Kitabu cha Zaburi

Made with FlippingBook - Online catalogs