The Kingdom of God, Swahili Student Workbook
/ 8 1
UFALME WA MUNGU
2. Ibada ya hekalu
Kazi ya kwanza ya Kanisa kama wakala wa Mungu ni kulitukuza jina lake katika ibada.
F. Mahali pa ibada kwa jumuiya iliyokombolewa: maono ya watakatifu wa Mungu katika ufunuo wa Yohana Mtume.
II. Kanisa ni wakala wa Ufalme wa Mungu kupitia ushahidi wake wa kitume.
A. Tumeitwa kutoa ushuhuda wa habari njema ya Ufalme katika Yesu Kristo.
1. Kama viungo vya mwili wa Kristo, tumeitwa kuwa mabalozi wa Yesu Kristo, 2 Kor. 5:18-21.
3
2. Utume Mkuu, amri ya kufanya wanafunzi wa Yesu ulimwenguni pote, imetolewa kwa Kanisa, Mt. 28:18-20.
3. Wito wa kushuhudia hata miisho ya dunia, kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Mdo. 1:8.
4. Waumini binafsi wameitwa kutoa ushuhuda wa kuvutia katika maisha na neno kwa wale walio katika nyanja zao za ushawishi, 1 Pet. 3:15-16.
a. Ukweli uliodhihirishwa kihistoria: palipo na Kanisa, utume upo.
b. Kila kusanyiko na kila mkristo ameitwa kuhudumu.
Made with FlippingBook - Online catalogs