Theology of the Church, Swahili Mentor Guide

/ 2 4 3

THEOLOJIA YA KANISA

huduma ya mitume, na vinapaswa kuwa tabia yetu (Mdo 6:4). Wahimize wanafunzi wako kutafuta uso wa Bwana katika maombi na kumwomba maarifa, mbinu, na suluhu maalum kwa masuala na mambo yenye mashaka wanayokabiliana nayo, katika maisha yao ya kibinafsi na pia huduma zao.

Made with FlippingBook - Share PDF online