Theology of the Church, Swahili Student Workbook
6 4 /
THEOLOJIA YA KANISA
2. Ufu. 4:8-9
3. Ufu. 15:3-4
B. Tunamwabudu Mungu kwa sababu Yeye hana kikomo katika uzuri .
1. Zab. 29:1-2
2. Zab. 96:6-8
2
3. Zab. 113:3-6
C. Tunamtukuza Mungu katika ibada kwa sababu ya utukufu wake usio na kifani .
1. Kut. 15:11
2. Zab. 57:11
3. Zab. 99:1-3
4. Zab. 97:9
D. Tunamwabudu Mungu kwa sababu ya tabia kuu ya matendo yake .
1. Kanisa linastaajabia kazi ya Mungu katika uumbaji wake, Zab. 104:1-5.
Made with FlippingBook flipbook maker