Theology of the Church, Swahili Student Workbook
/ 6 7
THEOLOJIA YA KANISA
2. Tunapaswa kumwabudu Mungu katika nyimbo zetu , Efe. 5:18-19.
3. Tunapaswa kumwabudu Mungu kwa kupiga vyombo vya muziki kwa ustadi , Zab. 33:2-3.
4. Tunamwabudu Mungu tunapomshukuru , Zab. 100:3-4.
5. Tunamwabudu Mungu tunapompigia kelele za sifa , Zab. 66:1-2.
6. Tunamwabudu Mungu tunapokuja mbele zake kwa ukimya na kutafakari .
2
a. Zab. 46:10
b. Hab. 2:20
7. Mungu anatamani kusifiwa kwa uhuru, kwa wazi, na kwa ubunifu, katika njia ya vitendo kamili na huru vya mwili .
a. Kwa kupiga makofi yetu , Zab. 47:1-2
b. Kwa kuinua mikono yetu juu , Zab. 28:2
c. Kwa kucheza mbele za Bwana , Zab. 150:4
d. Kwa kuinama na kumsujudia , Zab. 5:7
Made with FlippingBook flipbook maker