Theolojia Katika Picha

/ 1 0 9

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kiini na Chimbuko: Ukristo Ni Yesu Kristo (muendelezo)

Je, huna kovu? Hakuna kovu lililofichwa mguuni, au ubavuni, au mkononi? Nasikia ukiimbwa kama hodari katika nchi. Ninawasikia wakiitukuza nyota yako nyangavu inayopaa. Je, huna kovu? Huna jeraha? Lakini nilijeruhiwa na wapiga mishale, nikaangamia, Waliniegemeza juu ya mti ili nife; na kupasuka Kwa wanyama wakali walionizunguka, nilizimia; Huna jeraha? Hakuna jeraha, hakuna kovu? Lakini, kama Bwana alivyo, ndivyo atakavyokuwa mtumishi, Na miguu inayonifuata imetobolewa; Lakini wako mzima; awezaje kufuata mbali Asiye na jeraha wala kovu?

~ Amy Carmichael

I. Y esu Ufunuo wa Mwisho na Kamili wa Mungu: Ili kumwelewa Baba, ni lazima tumjue Yesu Kristo.

II. Y esu Ukombozi Uliokamilika wa Mungu: Yesu pekee ndiye nabii na kuhani aliyetiwa mafuta na Mungu ili kuturudisha katika uhusiano na Yeye.

III. H atimaye, si tu kwamba Yesu ni Ufunuo Kamili wa Mungu na Ukombozi uliokamilika, Yeye Pia Ndiye Kielelezo cha Mwisho cha Utawala na Asili Halisi ya Mwanadamu.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software